LOAN REPAYMENT PROCESS (JINSI YA KULIPA MIKOPO YA WEF)
The repayment method is as follows (Waweza Kulipa Kwa Njia ifwatavyo):
ENGLISH | SWAHILI |
---|---|
Step 1: Dial *222# | Bonyeza *222# kwenye simu yako ya rununu |
Step 2: Select 1 – Make Payment | Chagua 1 – Make payment |
Step 3: Select 2 – Service Code | Chagua 2 – Service Code |
Step 4: Type WEF | Bonyeza - WEF |
Step 5: Enter Reference - the group account number starting with 501****** | Bonyeza Nambari ya Kikundi ambayo inaanza na 501******* |
Step 6: A message showing your group details will pop up. Once you confirm they are correct, | Ujumbe unaoonyesha maelezo ya kikundi chako utatokea. Mara tu unapothibitisha kuwa ni sahihi, |
Step 7: Type 98 (more) | Bonyeza 98 |
Step 8: Type Amount to pay | Andika Kiasi cha kulipa |
Step 9: A message will pop up, type in your M-Pesa Pin No. | Ujumbe kutoka kwa M-Pesa kuhusu kiasi unachotaka kulipa utatokea. Weka PIN yako ili kuidhinisha malipo. |
Step 10: You will receive a message from M-Pesa confirming payment | Utapokea ujumbe kutoka kwa M-Pesa kuthibitisha malipo |
NB: GROUP MEMBERS ARE ADVISED TO REPAY WEF LOANS ONLY THROUGH THE ABOVE METHOD. OUR OFFICERS ARE NOT AUTHORISED TO HANDLE CASH ON BEHALF OF GROUP MEMBERS.
WANACHAMA WANAHIMIZWA KULIPA MIKOPO YOTE YA WEF KUPITIA NJIA ZILIZOTAJWA HAPA JUU. AFISA WA WEF HAWANA RUHUSA YA KUCHUKUA FEDHA ZOZOTE WALA KUWALIPIA MIKOPO WALENGWA WA WEF.
FOR LOANS TAKEN BEFORE MARCH 2023, THE REPAYMENT METHOD IS:
*222# on E-CITIZEN (The process flow is hereby attached).
FOR THE DIGITAL LOANS ISSUED WITH EFFECT FROM JULY, 2023, THE REPAYMENT METHOD IS:
*254# on Financial Inclusion platform (the process flow is hereby attached).